Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ALI JUMA SHAMHUNA AZUNGUMZA NA WALIMU WILAYA YA KATI UNGUJA

 

1
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wazazi pamoja na Walimu wa Wilaya ya Kati Dunga alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Maskuli mbalimbali ya Unguja na Pemba na kukutana na walimu pamoja na kamati za wazazi ilikutatua matatizo mbalimbali yanayokabili katika Maskuli hayo.
 2Mwenyekiti wa Kamati ya Skuli ya Kiboje Haji Shaban Waziri akitoa mchango wake kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna hapo Dunga Wilaya ya Kati katika ziara ya kutembelea Maskuli mbalimbali ya Unguja na Pemba ilikutatua matatizo mbalimbali yanayokabili katika Maskuli hayo.
3
Baadhi ya Wazazi pamoja na walimu wa Wilaya ya Kati waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali Ali Juma Shamhuna huko Dunga wakati alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Maskuli mbalimbali ya Unguja na Pemba na kukutana na walimu pamoja na kamati za wazazi ilikutatua matatizo mbalimbali yanayokabili katika Maskuli hayo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top