Balozi wa Canada Nchini Tanzania, Alexandre Leveque akifungua mafunzo
ya siku moja kwa Waandishi wa Habari wa Tanzania kutoka vyombo mbali
mbali yaliyoandaliwa na Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika kanda ya
Tanzania (MISATAN) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Canada Nchini ,mafunzo
hayo yalifanyika katika kituo cha British Council Jijini Dar es Salaam
jana .Kulia Mwenyekiti wa MISATAN, Mohammed Tibanyendera.(Picha na
Haroub Hussein).
BALOZI
wa Canada nchini Tanzania, Alexandre Leveque (kushoto) akimsikiliza
Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika kanda ya Tanzania
(MISATAN), Mohammed Tibanyendera muda mfupi baada ya kuyafungua mafunzo
ya siku moja kwa Waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali
yalioandaliwa na MISATAN kwa kushirikiana na ubalozi wa Canada, mafunzo
hayo yalifanyika katika kituo cha British Council Dar es Salaam
jana.Katikati Mkurugenzi wa MISATAN, Andrew Marawiti.(Picha na Haroub
Hussein).
WAANDISHI
mbali mbali wakimsikiliza Balozi wa Canada Nchini Tanzania, Alexandre
Leveque (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo ya Waandishi wa habari
wa vyombo mbali mbali yaliyoandaliwa na MISATAN kwa kushirikiana na
Ubalozi wa Canada Nchini , mafunzo hayo yalifanyika katika kituo cha
British Council Jijini Dar es Salaam.(Picha na Haroub Hussein).

Post a Comment