Baadhi
ya Wanachama wa Klabu ya Simba wakimpongeza Mwenyekiti wao, Ismail Aden
Rage, baada ya kumalizika kwa mkutano Mkuu wa Klabu hiyo
uliofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam leo,
na kuhudhuriwa na jumla ya wanachama zaidi ya 700.
Mwenyekiti
wa Simba, Ismail Aden Rage, akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa
Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo uliofanyika leo asubuhi katika
Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam leo, ambapo wanachama
zaidi ya 700 walihudhuria mkutano huo.
Meza kuu.
Mwanachama wa Simba kutoka Iringa akiuliza swali katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali (kushoto) akifuatilia mkutano huo.
Wanachama wa Simba wakionyesha furaja yao kwa Mwenyekiti wao baada ya mkutano kumalizika.
Rage akisamiliana na Mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali baada ya kumalizika kwa mkutano.
Wanachama wa Simba wakimpongeza Rage baada ya kufunga rasmi mkutano Mkuu wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo.
credit: sufian mafoto
Post a Comment