Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza
katika majumuisho ya ziara yake katika mkoa wa Njombe. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa
Njombe Kapteni Msangi na wa wapii kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Deo
Sanga.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiagana na Mkuu
wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba baada ya kumaliza ziara ya kikazi mkoani
humo.
Chanzo - MOBLOG
Post a Comment