Katibu
wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda
akiwa amelazwa katika chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi,
jijini Dar es Salaam, wakati akisubiri kufanyiwa operesheni katika bega
lake la mkono wa kulia baada ya kupatwa na jeraha linalodaiwa kuwa
limetokana na kupigwa risasi na Polisi mjini Morogoro hivi karibuni.Picha na Francis Dande
Loading...
Post a Comment