Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Vijana kutoka Ujerumani wafurahia ushirikiano wa Serikali ya Tanzania.

 

 
PIX1A
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana, wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na vijana  wanaojitolea kutoka Ujerumani ambao wapo nchini kufuatia mpango wao wa kubadilishana rasilimali watu kupitia asasi ya kirai ya Tanzania Youth Coalition leo jijini Dar es Salaam walipotembelea Wizarani hapo.
PIX2
Mmoja wa wakilishi kutoka Taasisi ya MitOst yenye makao yake jijini Hamburg Ujerumani Bibi Lusinja Czesnik (wa pili kutoka kushoto) akichangia mada leo walipokutana na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam walipotembelea Wizara ya Habari, Vijina, Utamaduni na Michezo ili kujifunza namna Serilikali ya Tanzania inavyoshughulikia masuala ya vijana hapa nchini.
PIX2A
Mmoja wa wanachama wa Tanzania Youth Coalition (TYC) ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bibi Neema Kassala (kushoto) akichangia mada walipokutana na Mkurugenzi wa  Maendeleo yaVijana walipotembelea Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo leo jijini Dar es Salaam kufuatia kuwa wenyeji wa wageni kutoka Taasisi ya MitoSt ya jijini Hamburg Ujerumani waliopo nchini.

PIX3
Afisa Mipango wa MitOst  Mete Odabasi akitoa neno la shukrani kwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kwa niaba ya Wizara ya Habari. Vijana, Utamaduni na Michezo kufuatia ushirikiano waliopewa katika ziara yao hapa nchini.
PIX5
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawakilishi kutoka taasisi ya MitOst ya jijini Hamburg Ujerumani walipotembelea Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kujifunza namna Serikali ya Tanzania inavyoshughulikia masuala ya Vijana kupitia wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.
PIX6
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana na wawakilishi kutoka taasisi ya MitOst ya jijini Hamburg Ujerumani walipotembelea Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kujifunza nama Serikali ya Tanzania inavyoshughulikia masuala ya Vijana kupitia wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam. (Picha Zote na Frank Shija wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top