Baadhi
ya wafanyabiashara vijana wa Kata ya Doma-Mvomero wakijadili rasimu ya
katiba mpya pamoja na wawezeshaji wa Kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu (LHRC) hivi karibuni.
Wanakijiji
wa Kijiji cha Kambala Kata ya Hembeti wilayani Mvomero wakijadili
rasimu ya katiba mpya pamoja na wawezeshaji wa Kituo cha Sheria na Haki
za Binadamu (LHRC)
Mmoja
wa wawezeshaji jamii wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),
Bw. Zakayo akihamasisha wananchi wa Kata ya Doma-wilayani Mvomero
kushiriki katika mchakato wa katiba mpya.
on Tuesday, August 13, 2013
Post a Comment