
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro akimkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (katikati) maoni ya Baraza la
Katiba la Wakuu wa Mikoa na Wilaya katika ofisi za Tume leo (Jumatano,
Agosti 38, 2013). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas
Gama na mwingine ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bw. Crispin Meela.

Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (kulia) akiongea na
Wawakilishi wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya waliofika katika ofisi za Tume
leo (Jumatano, Agosti 38, 2013) kuwasilisha maoni ya Baraza lao la
Katiba kuhusu Katiba Mpya. Viongozi hao ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw.
Abbas Kandoro (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama
(kulia kwa Mwenyekiti. Mwingine ni Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.

Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (katikati) akiongea
na Wawakilishi wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya waliofika katika ofisi za
Tume leo (Jumatano, Agosti 38, 2013) kuwasilisha maoni ya Baraza lao la
Katiba kuhusu Katiba Mpya. Viongozi hao ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw.
Abbas Kandoro (kushoto kwa Jaji Warioba), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Bw. Leonidas Gama (kulia kwa Mwenyekiti) na Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bw.
Crispin Meela. Kushoto ni Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.

Katibu
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Assaa Rashid (katikati) akiongea na
Wawakilishi wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya waliofika ofisi za Tume jijini
Dar es Salaam leo (Jumatano, Agosti 38, 2013) kuwasilisha maoni ya
Baraza lao la katiba kuhusu Katiba Mpya. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya Bw. Abbas Kandoro na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bw. Crispin
Meela.


Post a Comment