Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu,
Cleopa Msuya (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wakurugenzi wa TBL pamoja na wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa
Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa
TBL, Robin Goetzsche.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (wa pili kushoto), akijibu moja ya
maswali yaliyoulizwa na Wanahisa katika Mkutano Mkuu wa 40 wa Mwaka wa
Wanahisa wa kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Company
Secretary wa TBL, Huruma Ntahena, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
TBL, ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya na Mshauri wa
kampuni hiyo, Phocas Lasway.
Ofisa Sheria wa TBL, Huruma Ntahena akifafanua kuhusu gawio la hisa kwa wanahisa mwaka huu.
Baadhi ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo
Mwanahisa Adrian Makelele, akichangia
mada katika Mkutano Mkuu wa 40 wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo,
jijini Dar es Salaam
Mshauri wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Phocas Lasway (kushoto), akifafanua jambo kwa wanahisa katika
Mkutano Mkuu wa 40 wa Mwaka wa Wanahisa, jijini Dar es Salaam jana.
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche.
Mwanahisa Mchiwa Chedego kutoka Dodoma akichangia hoja
Mwanahisa Albert Manga akichangia hoja
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu,
Cleopa Msuya (katikati) Kulia ni Ofisa Sheria wa TBL, Huruma Ntahena.
Mmoja wa wanahisa akiuliza swali
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu,
Cleopa Msuya (katikati) akijadliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji TBL,
Robin Goetzsche katika Mkutano Mkuu wa 40 wa Mwaka wa Wanahisa, jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve
Kilindo.
Vinywaji mbalimbali vinavyotengenezwa na TBL
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu,
Cleopa Msuya (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wakurugenzi wa TBL pamoja na wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa
Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam
on Thursday, August 15, 2013
Post a Comment