Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa
Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi
Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Nyaraka za
Katiba ya Shirikisho hilo, kutoka kwa Mwenyekiti wake, Khamis Mkanachi,
wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salam,
leo Agosti 13, 2013 kwa ajili ya mazungumzo. Katikati ni Naibu Katibu wa
Makamu wa Rais Mohamed Khamis. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa Shirikisho, wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salam, leo Agosti 13, 2013 kwa ajili ya mazungumzo na kumkabidhi Katiba ya Shirikisho hilo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa Shirikisho, wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salam, leo Agosti 13, 2013 kwa ajili ya mazungumzo na kumkabidhi Katiba ya Shirikisho hilo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa
Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi
Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa Shirikisho hilo baada ya maongezi yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Picha
na OMR
Post a Comment