Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali
Sheikh Ponda hospitali ya muhimbili....
Watu wengi waenda muhimbili kumuona sheikh
Ponda aliyelazwa hospistalini humo. Kutokana na wingi wao ilibidi
wapange foleni ili kuepuka usumbufu wa kuingia wote kwa pamoja kwasababu ya
uwingi wao.
on Wednesday, August 14, 2013
Post a Comment