AMRI WA SHURA WA MAIMAMU MKOA WA MOROGORO, AYUB MUINGE
AKITOA MSIMAMO WA WAISLAM BAADA YA KUKUTANA NA TUME HUTU YA JINAI
ILIYOUNDA NA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU KUCHUN
GUZA TUKIO LA SHEIKHE
ISSA PONDA KUDAIWA KUPIGWA RISASI MKOANI MOROGORO AGOSTI 10 MWAKA HUU KATIKA MSIKITI MKUU WA MKOA HUO LEO. KATIKA MAELEZO YAKE KWA WAUMINI WA DINI HIYO ALISEMA KUWA VIONGOZI HAWAKO TAYARI KUTOA USHIRIKIANO KWA TUME HIYO MPAKA KUWA NA TUME HURU, NA KUDAI SHEIKHE ISSA PONDA ALIPIGWA NA RISASI KUTUMIA BASTO HALI ILIYOPELEKEA KUMJERUHI KATIKA BEGA LAKE LA MKONO WA KULIA.
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
SEHEMU YA WAUMINI WA DINI HIYO AMBAO NI AKINAMAMA WAKIFUATILIA MATUKIO YALIYOKUWA YAKIFANYIKA KATIKA MSIKITI HUYO.
WAUMINI WAKISILIZA MSIMAMO HUO KWA VIONGOZI WAO AMBAYO WALIKUTANA NA TUME HURU YA JINAI KATIKA MAZUNGUMZO YALIYOFANYIKA KATIKA KITUO KIKUU CHA POLISI MOROGORO.
WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WAKIONDOKA KATIKA KITUO KIKUU CHA POLISI MARA BAADA YA KUPATA MAELEKEZO KUTOKA KWA VIONGOZI WAO AMBAO WALIKUTANA NA VIONGOZI WA TUME HURU YA JINAI WAKATI WAKIELEKEA KATIKA MSIKITI KUU KWA AJILI YA KUELEZWA SEHEMU YA MAZUNGUMZA HAYO.
WAUMINI HAO WAKIWA WAMESIMAMA ENEO LA
KITUO KIKUU CHA POLISI MKOA WA MOROGORO WAKATI VIONGOZI WAO WAKIWA NA
VIONGOZI WA TUME HURU YA JINAI.
Post a Comment