Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SAKATA LA SHEIKHE ISSA PONDA LACHUKUA SURA MPYA BAADA YA WAISLAMU KUGEUZA KITUO KIKUU CHA POLISI MORO KUWA SEHEMU YA SWALA.

 

Waumini wa dini ya kiislamu Manispaa ya Morogoro wakiwa katika ibada ya swala ya adhuri eneo la kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro wakati viongozi wa dini hiyo wakiwa na viongozi wa jeshi la polisi katika tume huru ya jinai iliyounda na makao makuu ya jeshi hilo kuchunguza tukio la kujeruh
iwa kwa Sheike Ponda Issa agosti 10 mwaka huu katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege mara baada ya kumalizika kwa kongamano la kidini la idd pili mjini hapa, kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi.
JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
 Wakirukuu.
Wakiwa wamefunga swala.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top