Naibu Kamishina wa Polisi, (DCP) Thobias Andengenye (kushoto) akimpa
mkono nahodha wa timu ya Polisi, Salmin Mohamedi wakati wa hafla ya kuwaaga
wachezaji wanaokwenda kwenye mashindano ya Polisi kwa nchi zilizopo Kusini mwa
Jangwa la Sahara. Hafla hiyo ilifanyika Chuo cha Maofisa wa Polisi, Barabara ya
Kilwa Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Wachezaji wa timu ya Polisi.
Picha ya pamoja.
Post a Comment