Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DOLASED WAFAFANUA SHERIA YA WATU WENYE ULEMAVU NAMBA 55(1) YA MWAKA 2010 INAYOHUSU VYOMBO VYA HABARI

 

 
_MG_6094Mkurugenzi  Mtendaji  wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki  za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi(DOLASED), Gidion Mandesi(kulia) akifafanua Sheria  ya Watu Wenye Ulemavu namba 55(1) ya mwaka 2010 inayohusu vyombo vya habari hususan televisheni vinavyotakiwa kuweka wakalimani kwa ajili ya taarifa ya habari na matukio mengine ya kitaifa ili viziwi waweze kupata taarifa katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo kwa kutumia maandishi  ya nukta nundu.kulia   ni mwandishi wa habari wa gazeti la majira , David John. _MG_6106Mkurugenzi  Mtendaji  wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki  za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi(DOLASED)Gidion Mandesi(katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu haki mradi  wa haki za walemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO,Vincent Tiganya na kulia ni Afisa Mipango wa DOLASED Risala  Msemo. _MG_6119
Afisa Mipango Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki  za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi(DOLASED), Risala Msemo akifafanua jambo kuhusu mradi wa haki za kisheria kwa watu wenye ulemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO. Kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa  DOLASED Gidion Mandesi.
Picha zote na Magreth Kinabo-Maelezo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top