Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othuman afungua rasmi mafunzo ya Mahakimu Wakazi Dar es Salaam


majaji 1
Mh. Jaji Mkuu  wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman  akiwaasa Hakimu Wakazi alipokuwa anafungua mafunzo ya mahakimu hao yaliyoandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa kushirikiana na Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Afrika Mashariki inayoendelea leo katika hoteli ya Holiday Inn jijini Dar es Salaam. Majaji 2
Mh. Jaji Mkuu  wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman  (Kushoto) akizunguma jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Mh. Amiri Manento (kuilia) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki kwa yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn leo jijini Dar es Salaam. Majaji 3
Mtaalamu wa Masuala ya Utawala bora wa UNDP Tanzania Grainne Kilcullen akiwaasa Mahakimu Wakazi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn leo jijini Dar es Salaam.

  Majaji 4
Mwenyekiti wa Tume za Haki za Binadamu akionea na baadhi ya waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki  kwa mahakimu wakazi yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn leo jijini Dar es Salaam. Majaji 5
Mweyekiti wa Tume za Haki za Binadamu akiongea  wakati ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki  kwa mahakimu wakazi yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eleuteri Mangi -Maelezo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top