Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA ATEMBELEWA NA WAGENI MBALIMBALI NYUMBANI KWAKE

 


2- mkapa (alienyoosha mkono)akionea na kikosi kazi
Rais Msataafu Mh. Benjamin Mkapa (alienyanyua mkono mbele) leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam  akiongea na wageni wake leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam walipokwenda kumtembelea.. (Pichani mbele mwenye  Kaunda suti ya cream) ni Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Balozi Mohammed Omari Maundi. 3- Mkapa (kush) akimsikiliza mk
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam Balozi Mohammed Omari Mahundi (kulia) leo alipokwenda kumtembelea nyumbani kwake. 4- mwambene(kulia) akitoa maelezo mafupi(kati) ni Mk n(a kuliaa)Mkapa
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia), leo jijini Dar es Salam walipokwenda  kumtembelea.(pichani katikati) Ni Mkuu wa chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi.
9- mkapa (kush) akiongea na Mk
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa Benjamin Mkapa (kushoto) akiongea na Mkuu wa Chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi leo jijini Dar es Salaam.
8-picha ya pamoja
Picha ya pamoja  kati ya Rais Mstaafu pamoja na wageni waliokwenda kumtembelea nyumbani kwake leo.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top