Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
kufyatua matofali pamoja na wananchi kwa ajili ya ujenzi wa tanki la
maji katika kata ya Kagongwa Wilayani Kahama wakati alipoanza rasmi
ziara yake ya siku nne katika mkoa wa shinyanga leo na kushiriki
shughuli mbalimbali za maendeleo na za kukiimarisha chama katika mkoa
huo, Katika picha wanaoshuhudia kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa
halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi na katikati ni
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Khamis Mngeja.PICHA NA
KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KAHAMA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi
Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi naye akishiriki kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi wa tanki hilo la maji katika kata ya Kagongwa
Hili niyo tanki linalojengwa katika kata ya Kagogwa wilayani Kahama
Wananchi wa mjini Kahama wakiwa katika mkutano wa hadhara mjini humo.
Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi
akisoma ujumbe katika mabango yaliyoandikwa na wana CCM kuelezea kero
zao Nape amepokea kero ya wanaCCM hao na kuahidi kulishughulikia mara
moja.
Umati uliojitokeza katika mkutano wa hadhara mjini Kahama.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Kahama. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Khamis Mngeja akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.
Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Kahama leo.
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika kata ya Kagongwa wilayani Kahama
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikbidhi kadi
kwa mwanachama mpya wa CCM Ndeke Mdaki katika kata ya Isaka Wilayani
Kahama.
Ndugu Ezekiel Maige mbunge wa Msalala akiwahutubia wananchi katika Kata ya Isaka Wilayani Kahama.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa jengo la Kituo cha
afya katika kata ya Mwendakulima kijiji cha Mwendakulima iliyojengwa na
kampuni ya Kuchimba madini ya mgodi wa Buzwagi wilayani Kahama , kulia
ni Mwakilishi wa Mkuu wa mgodi wa Buzwagi Bw. Richard Otendo wa pili
kutoka kulia.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na
mwakilishi wa mkuu wa mgodi wa Buzwagi Richard Otendo wakati
alipotembelea jengo la kituo cha afya cha Mwendakulima lililojengwa na
mgodi huo.
Hili ndilo jengo lenyewe.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na
wananc hi katika kata ya Mwendakulima mara baada ya kutembelea ujenzi
wa jengo la kituo cha afya cha kata hiyo kulia ni Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi na katikati ni Diwani wa Kata hiyo kutoka TLP Bw. Ntabi Majabi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti katika kituo cha afya cha Mwendakulima.
Nape
Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi
naye akishiriki kupanda mti katika kituo cha afya cha Mwendakulima.
Wana CCM wakiwa katika mkutano wa Ndani mjini Kahama.
Kikundi
cha Sarakasi kikionyesha uwezo wao katika sarakasi katika mkutano wa
hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sinjita mjini Kahama.
Post a Comment