Waziri
Mkuu Mh,Mizengo Pinda katikati akiwa na mabondia Fransic Miyeyusho
kushoto na Fransic Cheka wakati walipo tembelea bungeni Dodoma kwa ajili
ya kutambua mchango wao na kuwapongeza
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda wanne
kushoto akiwa na bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini Fransic
Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma
wengine kushoto Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho kulia ni
promota wa mchezo
wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri, na
promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa
Catherini Matili .
Waziri
wa Wizara ya Habari ,Vijana,utamauni na michezo, Dkt,Fenela Mukangala
wa pili kushoto akiwa na Rais wa TPBO Yassini Abdala pamoja na mapromota
Mohamedi Bawazir kulia na Catherini Matili
Post a Comment