Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI MBALIMBALI JIJINI DAR LEO

 


 Kiongozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai akikata utepe wa jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani iliyopo Tabata Segerea jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa vyumba vya madarasa 7 
 Kiongozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai akizindua jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani iliyopo Tabata Segerea jijini Dar es Salaam leo
 Mkimbiza mwenge ndugu Seperatus N. Lubinga akitoa neno  kwenye uzinduzi wa  jengo la shule ya sekondari ya Migombani leo
 Mkimbiza mwenge akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa jengo la shule ya Migombani mchana wa leo.
 Kiongozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai(kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi katika uzinduzi wa jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani iliyoko Tabata Segerea jijini Dar es Salaam
 
Picha na Pamojapure Blog.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top