Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitia saini kitabu cha maombolezo
katika Ofisi ya Ubalozi wa Kenya Nchini Tanzania uliopo Mtaa wa Kaunda
Mjini Dar es salaam kufuatia mauaji yaliyotokea katika Kituo cha
Biashara cha WestGate Mjini Nairobi Nchini Kenya
Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Kaimu Balozi wa Jamuhuri ya
watu wa Kenya Nchini Tanzania Balozi George Owuor mara baada ya kutia
saini kitabu cha maombolezo kufuatia mauaji yaliyotokea kwenye kituo cha
biasha Nchini Kenya.
Balozi
Seif akibadilishana mawazo na Uongozi wa Ubalozi wa Kenya Nchini
Tanzania kufuatia shambulio la kigaidi lililotokea kwenye kituo cha
Biashara cha Westgate Mjini Nairobi Nchini Kenya.Kulia ya Balozi
Seif ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dr.
Mwinyihaji Makame Mwadini.Picha na Hassan Issa-Ofisi Ya Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar
Post a Comment