Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma za utamaduni wakati
alipowasili katika Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza kuanza ziara ya
kikazi .
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwanzilishi na Mkurugenzi wa
Shirika la Africa School Home Bibi.Aimee Bessire wakufunua kitambaa
katika jiwe lamsingi kuashiria kuzindua rasmi Shule ya msingi
Ntulya.Shule hiyo imejengwa kwa ufadhili wa Shirika la Africa School
Home lenye makao yake nchini Marekani(picha na Freddy Maro)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu muda mfupi baada
ya kuzindua rasmi Shule ya msingi Ntulya,iliyopo kata ya Mondo, Wilayani
Misungwi,Mkoa wa Mwanza.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na bvaadhi ya watoto
waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa Shule ya Msingi Ntulya,katika kata
ya Mondo,wilayani Misungwi, jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba motto Paulo Muhangwa muda
mfupi baada ya kuzindua shule ya Msingi Ntulya wilayani Misungwi,Mkoani
Mwanza jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wauguzi katika
hospitali ya wilaya ya Misungwi wakati wa uzinduzi wa huduma ya X Ray
katika hospitali hiyo,
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisiliza maelezo ya huduma ya Xray kutoka
kwa mganga Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Dr.Marco Mwita Magessa muda mfupi
baada ya Rais Kikwete kuzindua huduma hiyo katika hospitali ya Wilaya ya
Misungwi jana.
Post a Comment