Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS DKT. KIKWETE AZURU WILAYA YA KWIMBA MKOANI MWANZA

IMG_1346  
Mkuu wa Chuo cha Michezo cha Malya Ndugu Allen Alex akimwelezea rais Jakaya Kikwete ramani ya eneo lote la chuo mara tu baada ya uzinduzi wa uwanja wa ndani wa michezo. 
  IMG_1517Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akiangalia  ngoma za utamaduni wa Kisukuma zilizokuwa zikicheza wakati Rais Jakaya Kikwete alipofika tu uwanjani hapo kwa ajili ya mkutano wa hadhara huko Ngudu tarehe 9.9.2013.
IMG_1526 IMG_1531 
Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa Ngudu muda mfupi kabla ya kuwahutubia.

IMG_1596 IMG_1623 
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa na kusimikwa rasmi kuwa Kamanda  Mkuu wa sungusungu nchini  na Chifu Shimbi Martin Morgan wa wilaya ya Kwimba.Katika sherehe hiyo Rais Kikwete alikabidhiwa kofia nyekundu, mgolole, upinde na mshale pamoja na silaha nyingine za kijadi.
IMG_1645 
Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa Kwimba huko mjini Ngudu ili kuhitimisha ziara ya ya siku moja wilayani humo tarehe 9.9.2013.  
PICHA NA JOHN LUKUWI 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top