Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA HUWAWEI


IMG_0018
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisikiliza maelezo kuhusu picha ya watawala wa asili wa China kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huwawei Technologies nchini, Bw. Bruce Zhanga  na Mkurugenzi Mkuu wa kambuni hiyo, Bw. Kenneth Luo (kulia) katika mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0026
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Balozi wa China nchini,  Lu Youqing  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam Septemba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0038
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa China nchini, Bw. Lu  Youqing  (kushoto kwake) na ujumbe wake , Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
IMG_0041
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China Nchini, Bw. Lu Youqing, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top