Bibi
Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watu
wakivuna zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo PInda
lililopo Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Post a Comment