Balozi
wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye
umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole (kushoto) akipokelewa na Msaidizi wa
Rais katika masuala ya jamii Mwanahamisi Kitogo (kulia) kwenye ofisi
za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada ya kuitembelea
ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete ( kulia) akisalimiana na Balozi wa
kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri
wa miaka (10) Zuriel Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya
Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi
karibuni jijini Dares Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete ( kulia) akizungumza na mama mzazi wa
Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia
mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole, Partricia Oduwole (kushoto)
kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada
kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini jijini Dares Salaam.
Aliyebebwa ni Ismachiah mdogo wake na Zuriel.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete ( kushoto ) akiwa na Balozi wa kuwatetea
watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka
(10) Zuriel Oduwole, kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na
Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni
jijini Dares Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete ( katikati) akiwa na Balozi wa kuwatetea
watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka
(10) Zuriel Oduwole(kulia ) wengine aliyevaa nguo ya njano ni Azaliah
na pinki ni Arielle ambao ni wadogo zake na Zuriel, kwenye ofisi za
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi
hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisisitiza jambo kwa Balozi wa
kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri
wa miaka (10) Zuriel Oduwole, kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na
Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea jana jioni jijini Dares
Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimwonesha tisheti yenye nembo ya
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Balozi wa kuwatetea watoto wa
kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel
mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares
Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimvalisha tisheti yenye nembo ya
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Balozi wa kuwatetea watoto wa
kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel
Oduwole ikiwa ni ishara ya kumteua kuwa balozi wa WAMA, alipoitembelea
ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam. Kulia ni Mkurugenzi
wa uboreshaji afya – WAMA Dk. Sarah Maongezi .
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimuonyesha Balozi wa kuwatetea watoto
wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10)
Zuriel Oduwole kinyago kinachoonyesha umoja wa watanzania wakati balozi
huo alipozitembelea ofisi za WAMA hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimwonesha khanga iliyobuniwa na
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Balozi wa kuwatetea watoto wa
kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel
yenye maandishi ya ‘mtoto wa mwenzio ni mwanao mkinge na ukimwi’
kwenye ofisi za mara baada kuitembelea ofisi hiyo jana jioni jijini
Dares Salaam.
Picha na Magreth Kinabo – Maelezo
Post a Comment