Viongozi
wakielekea ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili kwenye ukumbi huo wa
mikutano wa AICC, jijini Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa
sita wa Wadau wa LAPFA. Kutoka (kushoto) ni Eliud Sanga, Gaudensia
Kabaka, Hawa Ghasia, Prof. Hasa Mlawa na Irene Isaka.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akitunukiwa zawadi na Waziri Hawa Ghasia.
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio nao walikuwepo.
Waziri
wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, akifunga Mkutano Mkuu wa 6 wa LAPF
mjini Arusha. Kusho ni Waziri Ghasia, Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud
Sanga. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Waziri
wa Kazi, Gaudensia Kabaka, akisalimiana na Mkurugenzi wa Uendeshaji,
LEPF, Valerian Mablangeti. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene
Isaka.
Waziri
wa Kazi, Gaudensia Kabaka, akipokea zawadi kutoka kwa M-Kiti, Bodi ya
Udhani wa LAPF, Prof. Hasa Mlawa. Wanoshuhudia ni Hawa Ghasia, Irene
Isaka na Eliud Sanga.
Waziri wa TAMISEMI, Hawa Ghasia akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu, SSRA, Irene Isaka.
Post a Comment