Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein.akisalimiana na Padri wa Kanisa Katoliki laMinara miwili Mjini
Zanzibar Cosmas Amani Shayo, alipowasili katika eneo la Mazishi ya
Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini
Wilaya ya Magharibi Unguja jana.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa na viongozi wengine akiwemo Makamo wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania DK.Mohamed Gharib Bilali,katika Mazishi ya Marehemu
Balozi Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya
ya Magharibi Unguja jana.Jeneza
la Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,likiwa limebebwa na Askari
Polisi na kulifikisha katika kaburi lake yalipofanyika mazishi kijijini
kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi Unguja jana.
Padri wa Kanisa Katoliki la Minara miwili Mjini Zanzibar Cosmas Amani
Shayo, akiuombea mwili wa marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,wakati wa
mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi
Unguja jana. Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,ukitemshwa katika kaburi wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi Unguja jana.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
Ramadhan Othman Ikulu.]
Post a Comment