Mbunge
wa jimbo la Morogoro mjini, Abdullaziz Abood na mkuu wa wilaya ya
Mvomero Morogoro, Anthony Mtaka nyuma yake wakitoa heshima za mwili
wakati kuaga mwili wa marehemu aliyekuwa mtang
azaji mkongwe kituo
cha Abood Media, Julius Nyaisangah ' Ungle J' nyumbani kwake Kihonda
aliyefariki dunia Oktoba 20 mwaka huu katika hospitali ya Mazimbu mkoani
Morogoro, Nyaisangah anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Kiwamamba wilaya
ya Tarime mkoani Mara.
Mpigapicha wa Abood Media, Athman Shekiondoa.
Mwenyekiti Mstaafu wa Morogoro Press Club, Aziz Abood.
Mwenyekiti Mstaafu wa Morogoro Press Club, Bonvitere Mtalimba
Mtangazaji wa Planet FM Anthony Mhando a.k.a Washngton DC
Mtangazaji wa Abood Medi Vumilia Konda akitokwa na machozi wakati wa tukio hilo.
Mtangazaji na Mwandishi wa ITV Devotha Minja.
Mwandishi wa Majira Lilian Justice
Mwenyekiti wa Morogoro Press Club Idda Mushi.
Mratibu wa Morogoro Press Club Thadei Hafigwa
PICHA/MTANDA BLOG
on Tuesday, October 22, 2013
Post a Comment