Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa baraza
hilo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
(hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo
katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.

Kamishna
wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga (kulia)
akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya jeshi hilo katika
Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
kinachoendelea katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Wa pili kulia
(waliokaa) ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil. Kulia ni
Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mwamini Malemi. Kushoto ni Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Edson Nyinyimbe. Wa pili kushoto ni Venance
Ntiyalundura, Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kamishna
wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga akiwasilisha
taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya jeshi hilo katika Kikao cha Baraza
la Wafanyakazi wa Wizara wa Mambo ya Ndani ya Nchi kinachoendelea
katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Post a Comment