Baadhi
ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF) pamoja na maofisa wa NSSF wakitembelea mradi wa Ujenzi wa
Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF) pamoja na maofisa wa NSSF wakitembelea mradi wa nyumba za
bei nafuu eneo la Mtoni Kijichi.
Meneja
Mradi wa NSSF, Mhandisi Karim Mattaka (wa kwanza kulia waliokaa mezani)
akitoa taarifa fupi kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii na maofisa waandamizi wa taasisi hiyo juu ya
maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Meneja
Mradi wa NSSF, Mhandisi Karim Mattaka (wa kwanza kushoto) akifafanua
jambo kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii na maofisa waandamizi wa taasisi hiyo juu ya maendeleo ya
ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Baadhi
ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF) pamoja na maofisa wa NSSF wakiteremka kwenye gari katika
moja ya miradi ya taasisi hiyo walipotembelea jana.
Mmoja wa maofisa wa juu na mhandisi kutoka NSSF akifafanua jambo kwa wajumbe wa bodi.
Mfisa
Mradi msimamizi na Msanifu wa NSSF, Deogratias Mponeja (wa kwanza
kushoto) akitoa maelezo juu ya mradi wa awamu ya tatu ya ujenzi wa
nyumba nafuu kwa wajumbe.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (wa pili
kulia) akiwa na Eunice Chiume wakizungumza jambo katika ziara ya
wajumbea wa Bodi ya NSSF kutembelea miradi jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Mradi na Msanifu Majengo wa NSSF, Mkurugenzi wa Mipango, Miradi na
Uwekezaji wa NSSF, Yacoub (aliyesimama) akitoa taarifa fupi juu ya
maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa wajumbw wa bodi.
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam
on Wednesday, October 30, 2013
Post a Comment