Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mafunzo ya kemikali zinazodumu kwa muda mrefu ardhini yaanza leo Dar es Salaam

 


DSCF0883
Bi Magdalena Mtenga, Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais akimkaribisha mgeni rasmi akifungua mafunzo ya siku mbili ya wataalam wa mazingira Jijini Dar es Salaam kuhusu kemikali zinazokaa ardhii kwa muda mrefu,wataalaam hao washiriki wanatoka katika mkoa wa Dar es saala, Pwani na Zanzibar. DSCF0893Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais,  Dkt Julius Ningu, akifungua mafunzo ya siku mbili wataaalam kutoka mkoa wa Dar es Salaam, Pwani na Morogoro, yanayohusu kemikali zinazokaa ardhini kwa muda mrefu, aliyekaa kushoto ni muwezeshaji kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, Idara ya Uhandisi Kemikali na Madini, Profesa Jamidu Katima. DSCF0897
Washiriki na wataalam katika mafunzo yanayohusu kemikali zinazokaa ardhini kwa muda mrefu katika mafunzo jijini Dar, wakimsikiliza mgeni Rasmi wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.

 DSCF0900
Picha ya Pamoja ya washiriki wa mafunzo ya wataalam,kuhusu kemikali zinazokaa ardhini kwa muda mrefu,Jijini Dar es Salaam leo.
Picha zote na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top