Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua rasmi kongamano la Kimataifa la Serikali za Mitaa la kujadili
Mabadiliko ya Tabianchi, lililoanza leo kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam. Picha Zote na OMR
Sehemu
ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati
akisoma hotuba yake ya ufunguzi huo, kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam, leo.
Sehemu ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais,
wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi huo, kwenye Hoteli ya Kunduchi
Beach jijini Dar es Salaam, leo.
Naibu
Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard
Muyungi, akizungumza kutoa mada yake wakati wa kongamano la Kimataifa la
Serikali za Mitaa la kujadili Mabadiliko ya Tabianchi, lililoanza leo
kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, lililofunguliwa na
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Kimataifa la
Serikali za Mitaa la kujadili Mabadiliko ya Tabianchi, lililoanza leo
kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua
rasmi Kongamano hilo.

akitembelea katika moja ya Banda la maonyesho baada ya kufungua rasmi
kongamano la Kimataifa la Serikali za Mitaa la kujadili Mabadiliko ya
Tabianchi, lililoanza leo kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es
Salaam.

Post a Comment