
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua juu ya kaburi ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe. Picha na OMR 

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe. Picha na OMR 

Makamu wa Rais Dr. Gharib Bila akiwasili kwenye mazishi ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe. Picha na OMR 

Makamu wa Rais, Dkt Bilal, akitoa heshima za mwisho.

Makamu wa Rais, Dkt Bilal, akialimiana na katibu Mkuu kiongozi wa zamani Bw. Philemon Luhanjo
Makamu wa Rais, Dkt Bilal, akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe. Picha na OMR


Post a Comment