Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuzindua rasmi Kivuko kipya cha MV Malagalasi kilichopo
Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, wakati wa hafla ya uzinduzi huo
iliyofanyika leo wilayani humo.
Makamu akiwahutubia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal,
akibonyeza kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko kipya cha Mv
Malagalasi, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo wilayani Uvinza Mkoa
wa Kigoma. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli.
Makamu akiwa na baadhi ya viongozi ndani ya Kivuko hicho baada ya kukizindua.
Makamu akizungumza na wananchi wa upande wa pili baada ya kuzindua kivuko hicho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua
na kuvuka nacho hadi uapande wa pili.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua
na kuvuka nacho hadi uapande wa pili.
Vijana wa JKT wa kambi Bulombora, wakitoa burudani wakati wa fafla hiyo.
Kivuko hicho kipya upande wa (kulia) na cha zamani vikiwa Mto Malagalasi.
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuhudhuria hafla hiyo.
Kivuko cha zamani
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa JKT.
Post a Comment