Mkurugenzi
wa Takwimu za Uchumi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Morrice Oyuke
akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es
Salaam hali halisi ya ukuaji wa Pato la Taifa kwa bei za soko
uliongezeka kwa kasi ya asilimia 6.7 katika kipindi cha robo ya pili ya
mwaka 2013 ikilinganishwa na kasi ya asilimia 6.4 katika kipindi kama
hicho mwaka 2012. 
Waandishi
wa habari wakimfuatilia kwa makini Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi toka
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Morrice Oyuke (hayupo pichani) wakati
akielezea ukuaji wa Pato la Taifa katika kipindi cha robo ya pili ya
mwaka 2013 uliongezeka kwa asilimia 6.7 ikilinganishwa na asilimia 6.4
katika kipindi kama hicho mwaka 2012.


Post a Comment