Afisa
Uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile
akitoa ufafanuzi kuhusu ufunguaji wa Ofisi za Shirika hilo katika maeneo
ya mipakani ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa zilizo chini ya kiwango,
wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa idara ya habari(MAELEZO) leo
Jijini Dar Es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO)
Bw. Frank Mvungi.
Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
Afisa
Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania(TBS) Bw. David
Ndibalema(kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)
kuhusu mfumo wa Udhibiti wa ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi kabla
ya kusafirishwa (PVoC) utakaosaidia kuondoa tatizo la bidhaa hafifu,
wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa idara ya habari(MAELEZO) leo
Jijini Dar Es Salaam.Kulia ni Afisa Uhusiano wa Shirika hilo Bi. Roida
Andusamile




Post a Comment