Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TANGAZO KUTOKA JESHI LA POLISI MBEYA

DSC00260
DIWANI ATHUMANI-ACP
KAMANDA WA POLISI
MKOA WA MBEYA
TAREHE 21/10/2013
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI-ACP ANAWATANGAZIA VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA NNE, SITA NA MAFUNZO YA AWALI YA JKT WALIOFANYA USAILI WA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI  MWAKA 2013.WANATAKIWA KURIPOTI TAREHE 30/10/2013 SAA 08:00 ASUBUHI KATIKA  VITUO VIKUU VYA POLISI VYA WILAYA ZAO AU OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA ILI WAPATE MAELEKEZO  YA SAFARI YA KWENDA CHUONI. 
TANGAZO LIMETOLEWA NA:
DIWANI ATHUMANI-ACP
   KAMANDA WA POLISI 
    MKOA WA MBEYA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top