Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PSPF, Adam Mayingu akitoa taarifa za
majukumu, mafanikio, changamoto na mipango ya mfuko kwa wadau wa mfuko
huo waliohudhuria kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na
PSPF.
Wakurugenzi
wa idara tano za PSPF katika picha ya pamoja wakati wa utambulisho kwa
wadau wa mfuko huo, kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani,
Godfrey Ngonyani, Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji, Gabriel Silayo,
Kaimu Mkurugenzi wa Technohama, Andrew Mkangaa, Kaimu Mkurugenzi wa
Uendeshaji, Francis Mselemu na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Masha
Mshomba.
Mkurugenzi
wa Mipango na Uwekezaji PSPF, Gabriel Silayo akieleza namna mfuko
unavyowekeza ili kulinda thamani ya michango ya wanachama dhidi ya
mfumuko wa bei na changamoto nyingine za kiuchumi
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Francis Mselemu akifafanua jambo kwa wadau wa mfuko huo
Afisa Mahusiano na Masoko wa PSPF, Hawa Kikeke na Mshereheshaji wa hafla hiyo Ephraim Kibonde
Mkurugenzi
wa Fedha na Utawala PSPF, Masha Mshomba akifafanua jambo kwa wadau wa
mfuko huo waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni
Afisa
Mahusiano wa PSPF, Fatma Elhagy akifafanua jambo kwa mdau wa mfuko huo
wakati wa halfa ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Kaimu
Mkurugenzi wa Technohama PSPF, Andrew Mkangaa akieleza namna mfumo wa
habari na mawasiliano unavyotumika katika kuboresha huduma za mfuko
katika utunzaji wa kumbukumbu, ukokotoaji wa mafao, kuandaa malipo ya
mafao na mawasiliano ya ndani na nje.
Mkurugenzi
wa Ukaguzi wa Ndani PSPF, Godfrey Ngonyani akieleza shughuli za ukaguzi
wa ndani zinavyofanyika kwa uangalifu ili kuongeza ufanisi na utendaji
wa mfuko
Wadau wa mfuko wa PSPF
Meneja
wa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Costantina Martin akitoa
maelezo juu ya mpango wa uchangiaji wa hiari na namna wadau na jamii kwa
ujumla inavyoweza kunufaika na mafao yanayopatikana katika mpango huo
Wadau wa mfuko wa PSPF
Baadhi ya watumishi wa PSPF
Wadau wa PSPF
Post a Comment