Makamu
wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk Mohamed Gharib Bilal
ambaye pia ni mgeni rasmi katika Usiku wa Chakula cha Hisani
kilichoandaliwa na AMREF TANZANIA kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage
kwaajili ya kuchangisha Pesa kwaajili ya Kusomesha Wakunga, hafla hiyo
inayoendelea Usiku Huu katika hotel ya Serena
Mgeni
Rasmi ambaye pia ni Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dk Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya
wawakilishi wa makampuni yaliyodhamini Usiku wa Chakula cha Hisani
unaofanyika katika Hoteli ya Serena Usiku huu kwaajili ya kuchangisha ya
kusomesha wakunga.Kampeni hii ya AMREF ijulikanayo kama Stand up for
Tanzania Mother yenye lengo la kutafuta pesa ya kusomesha wakunga ili
kuweza kutoa huduma ya Mama na Mtoto ili kupunguza vifo vya mama na
mtoto katika hospitali za Tanzania
Mgeni
rasmi ambaye pia ni Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dk Mohamed Gharib Bilal akiwa na wageni wengine waalikwa Katika Meza yao
katika Usiku wa Chakula Cha Hisani ulioandaliwa na AMREF TANZANIA kwa
kushirikiana na Montage Limited Kwaajili ya kutafuta pesa ya Kusomesha
Wakunga ili kuweza kusaidia kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto Tanzania
Baadhi
ya Wake wa Mawaziri waliohudhuria hafla hii ya Usiku wa Chakula Cha
Hisani kwaajili ya Kutafuta pesa ya Kusomesha wakunga kwaajili ya
Kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto, Hafla iliyoandaliwa na AMREF Tanzania
kwa kushirikiana na Montage Limited kupitia kampeni yake ya Stand up For
Tanzania Mother
Baadhi
ya Wadau waliojitokeza katika Hafla ya Usiku wa Chakula cha Usiku
kwaajili ya kutafuta pesa ya Kusomesha Wakunga Hapa Tanzania katika
Kampeni ya Stand for Tanzania Mothers iliyoandaliwa na AMREF Tanzania
kwa Kushirikiana na Montage Limited, Hafla inayoendelea Usiku huu katika
Hotel ya Serena
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Montage Limited Bi Teddy Mapunda akitoa shukrani kwa
Wadhamini na wahisani waliojitokeza katika Kushiriki nae kuandaa Hafla
ya Usiku wa Chakula cha Hisani uliofanyika Jana katika Hotel Ya Serena
ikiwa na Lengo na kutafuta pesa kwaajili ya Kusomesha Wakunga ili kuweza
kusaidia katika kupata wakunga ambao Watatoa huduma na kupunga Vifo vya
Mama na Mtoto hafla hiyo iliyoandaliwa na AMREF Tanzania kwa
kushirikiana na Montage Limited na Bank kupitia Kampeni ya AMREF iitwayo
Stand Up for Tanzania Mother iliyozinduliwa mnamo tarehe 15 Mei 2013.
Mwenyekiti
wa Benki M ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Musoma Mh Nimrodi Mkono
Akitoa neno kwa wageni waalikwa katika Hafla ya Usiku wa Chakula cha
Hisani kwaajili ya kuchangisha pesa ya kusomesha wakunga, Hafla
iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jana Usiku Huku ikiwa imeandaliwa
na AMREF Tanzania kwa kushirikiana na Montage na Benki M kupitia Kampeni
ijulikanayo Stand Up for Tanzania Mothers
Mmoja
wa Wanafunzi wa Masomo ya Ukunga Kutoka Katika Jamii ya Wafugaji kutoka
Kilindi Bi Tanioi Moringe Akitoa shukrani zake za dhati Kwa AMREF
Tanzania ambao ndio Wameweza kumdhamini Kumsomesha Katika Chuo Cha
Ukunga.
Makamu
wa Raisi Mh Dk Mohamed Gharib Bilal ambae pia alikua Mgeni rasmi katika
Hafla ya Usiku wa Chakula cha Hisani ulioandaliwa na AMREF Tanzania kwa
kushirikiana na Montage Limited na Benki M akipokea mfano wa Hundi
yenye Thamani ya Shilingi Milioni 25 za Kitanzania kutoka Kwa Mwakilishi
wa Benki ya NBC kwaajili ya MChango wao katika Kampeni ya Stand up For
Tanzania Mother ambayo inalengo la kukusanya pesa kwaajili ya Kusomesha
wakunga ili kusaidia kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto
Mgeni
Rasmi Ambaye pia Ni Makamu wa Raisi Wa Tanzania Mh Dk Mohamedi Gharib
Bilal akitoa Vyeti vya kushukuru kwa wawakilishi wa Makampuni yaliyoweza
kudhamini usiku huo wa Chakula cha Hisani ulioandaliwa na AMREF
Tanzania kwa kushirikiana na Montage Limited na Benki M hafla
iliyofanyika jana Usiku katika Hotel ya Serena
Baadhi
ya Wawakilishi wa Makampuni yaliyoweza kudhamini Hafla ya Usiku wa
Chakula Cha Hisani ulioandaliwa na AMREF Tanzania kwa kushirikiana na
Montage Limited na Benk M wakipokea vyeti vya Shukrani kutoka Mgeni
Rasmi Dk Mohamed Gharib Bilal ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika
hafla hiyo iliyofanyika jana katika Hotel ya Serena.Credit: Lukaza Blog
Post a Comment