Waziri
wa Fedha, Wizara ya Fedha Tanzania Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa katikati
akisaini mkataba wa mradi wa umeme wa Rusumo, kulia kwake ni Waziri wa
Fedha na Mipango ya Uchumi Burundi Mhe. Tabu Manirakiza, kushoto kwake
ni Mkurugenzi wa Mkakati na Uendeshaji ukanda wa Afrika Bw. Colin Bruce Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi Eva Valerian – Washington DC
Naibu
Katibu Mkuu, Umoja wa nchi za Afrika Mashariki Dkt. Enock Bukuku
akimfafanulia jambo Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata
Mulamula walioko pembeni ni baadhi ya walihudhuria mkutano wa kusainiwa
kwa mkataba wa Rusumo.
Waziri
wa Fedha Mhe. Dkt. Mgimwa akikabidhiwa mkataba na Mkurugenzi wa Mkakati
na Uendeshaji ukanda wa Afrika Bw. Colin Bruce mara baada ya kusaini.
Mawaziri
wa Fedha wa nchi tatu, kutoka kushoto Waziri wa Fedha na Mipango ya
Uchumi wa Burudi Mhe. Tabu Manirakiza, Waziri wa Fedha wa Tanzania Dkt.
Wiliam Mgimwa, Mkurugenzi wa Mkakati na Uendeshaji ukanda wa Afrika Bw.
Colin Bruce na Waziri wa Fedha na Mipango wa Rwanda Mhe. Clever Gatete
na pamoja na wakitabasamu mara baada ya kusaini mkataba huo.
Ujumbe
wan chi tatu Tanzania, Rwanda na Burundi pamoja na Benki ya Dunia
wakifuatilia majadiliano mara baada ya kusainiwa kwa mkataba huo.
Ujumbe
wan chi tatu Tanzania, Rwanda na Burundi pamoja na Benki ya Dunia
wakifuatilia majadiliano mara baada ya kusainiwa kwa mkataba huo.
Post a Comment