
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakimsikiliza Balozi wa Tanzania
nchini China Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo(kushoto)wakati
aliposoma taarifa kwa Waziri Mkuu ambaye Oktoba 16, 2013 aliwasili
mjiniBeijing kwa ziara ya kikazi nchini China

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiagana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya China National Machinery
Industry Federation na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya TBEA, Bw, Zhang
Xin baada a mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 16, 2013.Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu


Post a Comment