
Waziri
wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiongozana na Mkuu
wa Mkoa wa Kigoma Kanali Msataafu Issa Machibya (wa pili kulia) na Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) wakipita
kwa pamoja na Watendaji mbali mbali katika Daraja la Kikwete.

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
(Katikati) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Msataafu Issa Machibya
(kulia) pamoja na Watendaji mbali mbali wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja
la Kikwete katika Mto Malagarasi mkoani Kigoma.


Post a Comment