Bango
linalosomeka Nje ya Nyumba ya Kwanza aliyowahi kuishi Hayati Baba wa
Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere iliyopo Magomeni Mtaa wa Ifunda
barabara ya ifunda 60
Hii
ndio nyumba aliyoishi Hayati Baba Wa Taifa Mwl Julius Nyerere Kwa
Kipindi Cha Miezi nane iliyopo Magomeni Mtaa wa Ifunda, Barabara ya
Ifunda namba 60 ambayo sasa imekuwa ni sehemu ya kumbukumbu ya Nyumba ya
Mwl Nyerere
Baadhi
ya Wakazi wa Jiji La Dar Wakiwasili kwenye Nyumba aliyokuwa anaishi
Hayati Mwl Nyerere Kipindi hiko kwaajili ya kujifunza na kufahamu
historia yake japo kwa kifupi
Wakazi
wa Jiji la Dar Wakipata Maelezo kutoka kwa Mmoja wa Wahudumu (hayupo
pichani) wa Makumbusho ya Kumbukizi ya Nyumba ya Mwl Nyerere iliyopo
Magomeni Mtaa wa Ifunda wakati walipofika leo kutembelea nyumba hiyo
aliyokuwa akiishi Hayati Baba wa taifa Mwl Julius Nyerere iliyopo
Magomeni Mtaa wa ifunda
Mmoja
wa Kijana aliyefika kwaajili ya Kutembelea Makumbusho ya Kumbukizi ya
Nyumba ya Mwl Nyerere iliyopo Magomeni Mtaani wa Ifunda Jijini Dar
akiandika jina katika kitabu cha Wageni mapema leo wakati alipotembelea
Nyumba Hiyo leo
Wakazi
wa Jiji la Dar wakionyeshwa Chumba cha Watoto wa Kiume wa Hayati Baba
Wa Taifa Mwl Juilus Nyerere na mmoja wa wahudumu wa Nyumba hiyo (hayupo
pichani) wakati waliotembelea makumbusho ya kumbukizi ya Nyumba ya Mwl
Nyerere mapema leo iliyopo Magomeni Mtaa wa Ifunda Jijini Dar
Mmoja
wa Wahudumu wa Makumbusho ya Kumbukizi ya Nyumba ya Mwl Nyerere Bi
Latipha Juma akitoa maelezo ya Redio ya kwanza aliyopewa Mwl Nyerere
kama zawadi na Malkia Elizabeth kwa wakazi wa jiji la Dar waliofika
kutembelea nyumba hiyo iliyotumiwa na Mwl Nyerere hapo Mhudumu wa nyumba
hiyo akiwaonyesha wakazi wa jiji la Dar waliofika katika Nyumba hiyo
iliyopo Magomeni Mtaa wa Ifunda
Mmoja
wa Wahudumu wa Makumbusho ya Kumbukizi ya Nyumba ya Mwl Nyerere Bi
Latipha Juma akitoa maelezo kwa wakazi wa jiji la Dar waliofika
kutembelea nyumba hiyo iliyotumiwa na Mwl Nyerere hapo Mhudumu wa nyumba
hiyo akiwaonyesha Rozari aliyokuwa akitumia Hayati baba wa Taifa Mwl
julius Kambarage Nyerere
Mmiliki
wa Lukaza Blog Josephat Lukaza pamoja na Wakazi wengine wakipata
maelezo kutoka kwa Bi Theresia Gratta Makene (katikati) juu ya redio ya
kwanza aliyopewa Mwl Nyerere Kama Zawadi kutoka Kwa Malkia Elizabeth
Wakazi
wa Jiji la Dar wakiangalia baadhi ya Picha zilizobandikwa katika Kuta
za Nyumba aliyokuwa akiishi Hayati Mwl Nyerere Kwa kipindi cha Miezi
nane, Nyumba hiyo ipo Magomeni Mtaa wa Ifunda
Baadhi
ya watoto waliofika Katika nyumba hiyo Kwaajili ya Kuona vitu
mbalimbali alivyowahi kutumia Hayati Mwl Nyerere vilivyopo katika Nyumba
hiyo iliyopo Magomeni Mtaa wa Ifunda
Watoto
waliofika mapema leo Katika Nyumba aliyowahi kuishi Hayati Mwl Nyerere
iliyopo Magomeni Mtaa wa Ifunda wakiangalia vitabu vya Mwl Nyerere
Mmoja
wa Wahudumu wa Makumbusho ya Kumbukizi ya Nyumba ya Mwl Nyerere Bi
Latipha Juma akielezea juu ya baadhi ya vyombo alivyowahi kutumia Hayati
baba wa taifa Mwl Nyerere wakati akiishi katika nyumba hiyo iliyopo
Magomeni mtaa wa Ifunda.
credit: Lukaza Blog
Post a Comment