Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI NCHIMBI AZUIWA NA WANANCHI


 
Wananchi wenye hasira wakifunga njia kwa kutumia vyuma vya kingo vya daraja kuzuia msafara wa Dkt.Emmael Nchimbi kupita wakati akienda kwenye mkutano wa hadh
ara ambao baadae ulifanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari ya kutwa ya Matarawe iliyopo katika Manispaa ya Songea (picha na Gideon Mwakanosya)
Diwani wa kata ya Matarawe (CCM) Makene aliyesimama katikati akijaribu kuwatuliza wananchi wa kata hiyo ambao walifunga barabara itokayo mjini kwenda matarawe kwa zaidi ya masaa mawili wakimshinikiza mbunge wao Dkt. Nchimbi awasaidie kulipanua daraja ambalo wamedai kuwa limekuwa likisababisa ajari nyingi pamoja na vifo aliyesimama nyuma yake ni Dkt Nchimbi (picha na Gideon Mwakanosya)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top