Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara awateua wajumbe wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) kwa kipindi cha 2013-2015.


Walioteuliwa ni Dkt. Shani Omari
-
Mkuu wa Idara ya Fasihi, TATAKI Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Prof. Yohana P. Msangila
-
Kaimu Mkurugenzi, TATAKI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Bi. Ester Riwa
-
Mwakilishi wa Wizara.
Dkt. Issa Haji Zidi
-
Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Taifa, Zanzibar.
B. Khadija Bakari Juma
-
Katibu Mtendaji, Baraza la Kiswahili, Zanzibar.
Dkt. Martha Qorro
-
Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Bw. Mmanga M. Mjawiri
-
Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar.
Bi. Razia Yahaya
-
Mratibu wa mitaala, somo la Kiswahili, Taasisi ya Elimu, Dar es Salaam.
Bw. Richard F. Mbaruku
-
Mkurugenzi Msaidizi, Wizara ya Katiba na Sheria.
Bi Selina Lyimo
-
Mkurugenzi wa Utawala, Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma.
Bw. Keneth Konga
-
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Bw. Amour Abdallah Khamis
-
Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Taifa, Zanzibar.
Bw. Omari Kiputiputi
-
Mkuu wa Chuo cha Biashara Dodoma, Msanifu Lugha na mtunzi wa vitabu.
Prof. John G. Kiango
-
Makamu wa Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Ekenford Tanga.
Bi. Shani Kitogo
-
Afisa Utamaduni Ilala, mtaalamu wa lugha ya Kiswahili.
Bw. Ally Kasinge
-
Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI.
Bw. Ahmed Fadhil Mzee
-
Mhadhiri, Chuo cha Kiislam Zanzibar.
Bi. Rose Lukindo
-
Mkurugenzi Msaidizi mstaafu, Sehemu ya Lugha, Wizarani.
20.
Bw. Shabani Kisu
-
Mtangazaji na Mtayarishaji wa kipindi cha lugha ya Kiswahili TBC.
21.
Bw. Edwin Mgendera
-
TAMISEMI
 
Kwa mujibu wa kanununi za BAKITA, kikao cha kwanza cha Bodi ndicho kinachochagua viongozi wa bodi hiyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top