1. TAARIFA;
UTEKELEZAJI WA OPERESHENI KIMBUNGA AWAMU YA PILI UNAENDELEA KAMA ULIVYOPANGWA
2.0 TIMU YA OPERESHENI KIMBUNGA
INAENDELEA KUTOA SHUKURANI KWA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUHABARISHA
WATANZANIA KUHUSU ZOEZI ZIMA LA OPERESHENI HII. PIA INATOA SHUKURANI KWA
RAIA WEMA WANAOENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA VYOMBO VYA DOLA KWA KUTOA
TAARIFA ZA WAHALIFU NA UHALIFU. TAARIFA HIZO ZIMELETA MAFANIKIO MAKUBWA
3.0 MATOKEO;
3.0 MATOKEO;
KUANZIA TAREHE 21/09 –01/10/2013, TAYARI MATOKEO MBALIMBALI YAMEPATIKANA KAMA IFUATAVYO;
WAHUSIKA WA MTANDAO WA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA WAMEPATIKA KWA MAHOJIANO NA UPELELEZI UNAENDELEA
MAHAKAMA YA WILAYA BIHARAMULO IMETOA HUKUMU YA KUTAIFISHA NG’OMBE 103 MALI BWANA KALEMELA GEORGE KWA KOSA LA KUINGIZA MIFUGO HIYO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA BIHARAMULO (HUKUMU IMEZINGATIA UTHIBITISHO WA UKIUKAJI WA KIFUNGU No. 111 CHA SHERIA YA WANYAMAPORI NA UHIFADHI YA MWAKA 2009) – REJEA (CC. No. 154/2013)
JUMLA KUU YA WAHALIFU WA MBALIMBALI 529 WAMEKWISHAKAMATWA NA HATUA STAHIKI ZIMECHUKULIWA KAMA ILIVYOCHANGANULIWA - KIAMBATANISHO AI
JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 425 WAMEKAMATWA, KATI YAO WANYARWANDA 149, WARUNDI 180, WAGANDA 82, WAKONGO 14 – REJEA KIAMBATANISHO ”A”

JUMLA YA WATUHUMIWA 88 WA UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA WAMEKAMATWA PAMOJA NA;
SILAHA 23 (SMG 3, PISTOL 2 NA MAGOBOLE 18).
RISASI 484 (MIONGONI MWAKE RISASI ZA SMG / SAR 471 NA PISTOL 13).
MAGAZINE 2 (SMG)
BOMU MOJA (1) LA KUTUPWA KWA MKONO (DEFFENSIVE HAND GRANADE)
SARE MOJA YA JESHI LA BURUNDI (SURUARI, SHATI NA KOFIA)

NG’OMBE 2220 WALIKAMATWA KWENYE HIFADHI YA TAIFA
VIELELEZO VINGINE VILIVYOKAMATWA VIMECHANGANULIWA KWENYE – KIAMBATANISHO ”A I,

3.0 WITO,;
NAWAHIMIZA WANANCHI WOTE
KUWA OPERESHENI KIMBUNGA NI ENDELEVU NA KWA PAMOJA TUENDELEEE KUTOA
TAARIFA ZA WAHALIFU NA UHALIFU BILA KUMPENDELEA MTU YEYOTE WALA KUMUONEA
MTU YEYOTE.
LENGO LIWE NI KUHAKIKISHA KILA ANAYEHUSIKA ANAKAMATWA, ANAHOJIWA NA KUFIKISHWA KWENYE MKONDO WA SHERIA.
VYOMBO VYA DOLA KWA KUSHIRIKIANA NA RAIA WEMA VIKO TAYARI KUHAKIKISHA USALAMA, AMANI NA UTULIVU VINADUMISHWA WAKATI WOTE ILI WANANCHI WAENDELEE NA SHUGHULI ZAO MBALIMBALI ZA MAENDELEO.

4.0 HITIMISHO;
BADO NASISITIZA KUWA
OPERESHENI KIMBUNGA INATEKELEZWA KWA KUZINGATIA MISINGI YA SHERIA,
KANUNI, TARATIBU ZA NCHI NA HAKI ZA BINADAMU.
KATIKA UTEKELEZAJI WA OPERESHENI HII MWANANCHI MWENYE TAARIFA AONYESHE DHAMIRA YA KIJASIRI, KIZALENDO NA MSHIKAMANO WA KITAIFA KATIKA KUSAIDIA VYOMBO VYA DOLA KWA KUTOA TAARIFA ILI KUKABILI WAHALIFU NA UHALIFU HAO NCHINI
ULINZI NA USALAMA WA NCHI HII NI WETU WOTE, TUSHIRIKIANE KUBAINI, KUZUIA NA KUPAMBANA NA UHALIFU NA HASA UJAMBAZI, UJANGILI, UHAMIAJI HARAMU PAMOJA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA.

DCP - SIMON SIRRO
MKUU WA OPERESHENI ZA POLISI NCHINI
MKUU WA OPERESHENI ZA POLISI NCHINI
KNY; OPERESHENI KAMANDA
Post a Comment