
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na
mama mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Albertina Kasanga jana
alipomtembelea nyumbani kwake Kibaoni akiwa katika ziara ya mikoa ya
Rukwa na Katavi kukagua miradi ya umeme. Picha na Mussa Mwangoka.


Post a Comment