"Vyama
vya siasa kunishambulia sio jibu la matakwa ya kisheria ya kutaka
vikaguliwe. Msajili wa vyama hana taarifa za ukaguzi. Nape anapiga
kelele kuwa wamekaguliwa, anafanya siasa kwenye masuala ya kisheria.
Kama anazo taarifa za ukaguzi zilizokaguliwa na CAG apeleke kwa Msajili
sio kupiga kelele. Mimi nafuata sheria na kanuni za Bunge zinazotaka
kusimamia matumizi ya fedha za umma. Ruzuku ni fedha za umma"
on Thursday, October 17, 2013


Post a Comment