
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Makamo Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Tawi la Tumbe,wilaya ya Wete
Pemba,akiwa katika ziara maalum, [ Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Tumbe wakimsikiliza Makamo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza katika mkutano wa chama katika kijiji cha
Tumbe,alipokuwa katika ziara maalum katika Wilaya ya Wete Pemba
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Makamo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati)akisikiliza Risala ya wanachama CCM Tawi la Tumbe
iliyosomwa na Time Juma,


Post a Comment